Nicah The Queen afungua kesi dhidi ya Emma Jalamo
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nicah the Queen ameamua kumchukulia hatua kali za kisheria msanii wa ohangala Emma Jalamo ...
Amber Rose mbioni kuandika kitabu kuhusu dhuluma dhidi ya wanawake
Mwanamitindo maarufu duniani Amber Rose ameibuka na kudai kuwa kuna unyanyasaji mkubwa sana wa wanawake lakini vyombo vya habari vimekuwa ...
Bahati adokeza ujio wa kolabo yake na Harmonize
Wakati bado Bahati anaendelea kufanya vizuri na wimbo wake mpya 'Nowe Sweety,' ameonyesha kuwa hataki kulaza damu kuhusu muziki,ameonekana ujio wa kazi ...
Otile Brown atangaza ujio wake mpya 2023
Mwimbaji nyota wa kizazi kipya nchini Kenya, Otile Brown hataki kuwaacha mashabiki wake hivi hivi kabla mwezi huu haujaisha. Hii ...
Iyanii apokezwa tuzo mbili Boomplay baada ya kufikisha streams millioni 10
Mwanamuziki Iyanii kutoka nchini Kenya anaendeleza ubabe upande wa Streaming Platforms hasa katika mtandao wa Boomplay, amepokea tuzo mbili za ...
Twitter kufanya mabadiliko tena
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa mtandao wa Twitter, Elon Musk ametangaza kwamba, Twitter inatarajia kuongeza kipengele kipya ndani ya jukwaa hilo ...
Twitter yafanya mabadiliko katika sehemu ya search
Twitter imefanya mabadiliko katika sehemu ya search. Sasa hivi unaweza kuona thamani ya hisa na cryptos katika sehemu ya Search. ...
Internet Explorer kufutwa rasmi
Microsoft imetangaza kuwa Februari 14, 2023 itakifuta rasmi kivinjari cha Internet Explorer kutoka katika kompyuta za watumiaji duniani kote. Kampuni ...
Twitter rasmi yaondoa utambulisho wa vifaa vya simu kwa watumiaji wake
Mtandao wa Twitter rasmi umeondoa utambulisho wa vifaa vya simu chini ya Tweet za watumiaji wake. Sasa hautaweza tena kuona ...
Instagram yaweka sehemu mpya ya “Notes”.
Mtandao wa Instagram unazidi kuboresha huduma zake kwa kuweka sehemu mpya ya “Notes” Sehemu hii inawezesha mtumiaji kuandika ujumbe mfupi ...