You are currently viewing AKOTHEE AWAPO SOMO MASHABIKI, ACHENI KUWAIGA WATU MAARUFU MITANDAONI

AKOTHEE AWAPO SOMO MASHABIKI, ACHENI KUWAIGA WATU MAARUFU MITANDAONI

Mwanamuziki Akothee amewataka mashabiki zake kuacha kujilinganisha na watu maarufu mtandaoni na badala yake watie bidii ili waweze kutimiza mafanikio yao.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook Akothee amesema mastaa wengi huwa hawachapishi  matatizo yao kwenye mitandao ya kijamii

No one shows off their struggle, everyone wants to look like success itself. Akothee is one real deal, what you see is what you get. Be careful whom you follow, do they motivate, inspire you, or do they choke you with lies and make you feel like, you are not living?” ameandika

Hitmaker huyo wa Sweet love amesema kila mtu ni mpangaji wa maisha yake na kile ambacho mtu anakifanya kwa sasa inaashiria mafanikio au anguko lake katika siku za mbele.

“My friend, you must work hard. To have good things, the good life comes with sacrifices, not with iPhone, filters, and backgrounds. You can never earn a penny for being famous. Most people are just famous for being famous with zero investments, and zero earnings. Think fame can only take you to big hotels, free intimacy and free foods. Ask celebs.” Ameongeza

Akothee ambaye yupo nchini Ufaransa kwa ajili ya tour yake ya kimuziki, ameongeza kuwa mitandao ya kijamii inaweza kumfanya mtu akapatwa na msongo wa mawazo

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke