You are currently viewing AKOTHEE AWATOLEA UVIVU WANAOFURAHIA ANGUKO LAKE

AKOTHEE AWATOLEA UVIVU WANAOFURAHIA ANGUKO LAKE

Mwanamuziki na mfanyibiashara maarufu nchini Akothee amekanusha madai ya kuachana na mpenzi wake Nelly Oaks mara baada ya kuandika ujumbe uliotafsiriwa na wengi kuwa huenda penzi lao limefikia kikomo.

Kupitia instagram Akothee ameshangazwa na kitendo cha watu kufurahia anguko lake huku akidai kwamba chapisho lake lilikuwa mzaha.

Hata hivyo watumiaji wa mitandao ya kijamii wameonekana kutofurahishwa na hatua ya Akothee kuwadanganya wafuasi wake huku wengine wakidai kuwa msanii huyo anatafuta  mazingira ya kuzungumziwa na wanablogu.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke