You are currently viewing ALBUM YA MBOSSO “DEFINITION OF LOVE”  YAFIKISHA STREAMS MILLIONI 55 BOOMPLAY

ALBUM YA MBOSSO “DEFINITION OF LOVE” YAFIKISHA STREAMS MILLIONI 55 BOOMPLAY

Album ya msanii Mbosso, “Definition Of Love” inaendelea kufanya vizuri kwenye digital platforms mbalimbali.

Good news ni kwamba tayari imefikisha jumla ya Streams MILIONI 55 kwenye mtandao wa Boomplay.

“Definition Of Love”, ndio album ya kwanza kwa mtu mzima Mbosso kuiachia tangu aanze safari yake ya muziki na pia alipojiunga na lebo ya WCB mwaka 2018.

Album ya “Definition Of Love”, iliachiwa rasmi Machi 9, mwaka wa 2021 ikiwa na jumla ya nyimbo 12 za moto zenye maudhui ya mapenzi.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke