You are currently viewing ALBUM YA RAPA BREEDER LW “BAZENGA MENTALITY” YAWEKA REKODI BOOMPLAY KENYA

ALBUM YA RAPA BREEDER LW “BAZENGA MENTALITY” YAWEKA REKODI BOOMPLAY KENYA

Album ya Rapa breeder Lw, Bazenga Mentality inaendelea kufanya makubwa kwenye mitandao ya kuuza na kusikiliza muziki duniani.

Mpaka sasa imefikisha jumla ya streams MILIONI 1 kwenye mtandao wa kupakua na kusikiliza muziki wa Boomplay.

Album hiyo  ya ” Bazenga Mentality ” iliachiwa rasmi Juni 30 mwaka wa 2021, ikiwa na jumla ya mizinga 15  za moto.

Ikumbukwe Album ya “Bazenga Mentality” ni album ya pili kutoka kwa mtu mzima Breeder lw baada ya kabla kuosa iliyotoka mwaka wa 2008.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke