Soshalaiti maarufu mtandaoni Amber Ray amekanusha vikali kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na muigizaji maarufu nchini Mwala
Kupitia youtube channel yake ameeleza kuwa amechoshwa kuzushiwa taarifa za uongo mitandaoni ambapo amesema hapendi kuhusishwa na Mwala kwani hana ukaribu wowote naye.
” No, I have never had anything sexual. We are not even friends. He had come to my house and taken a photo with Gavin.
I took pictures with Otile and Ali Kiba sop I don’t know why they chose to say that am dating Mwala.” Amesema.
Kauli yake imekuja mara baada ya walimwengu kudai kuwa Mwala amekuwa akifadhili maisha yake ya kifahari kufuatia hatua ya muigizaji huyo kuchapisha picha mtandaoni akiwa na mtoto wa Amber Ray aitwaye Gavin.