You are currently viewing Apple imesogeza mbele mradi wa kutengeneza magari yasiyo na usukani

Apple imesogeza mbele mradi wa kutengeneza magari yasiyo na usukani

Kampuni ya Apple imesogeza mbele mradi wake (Project Titan) wa kutengeneza magari yasiyo na usukani wala pedeli hadi mwaka 2026. Hii ni kutokana na uhaba wa teknolojia lakini pia kutikisika kwa uongozi wa timu ya wahandisi.

Tangu mwaka 2014, kampuni hiyo iliweka wazi kuja na mradi huo ambao magari yatakuwa yakijiendesha kiteknolojoa ‘Automatic’ pasina dereva kutumia usukani wala kukanyaga pedeli chini. Kwa mujibu wa taarifa, magari hayo ya Apple yataingia sokoni kwa bei ya ($100,000) zaidi ya KSh. Milioni 12

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke