You are currently viewing ARNELISA MUIGAI KWENYE PENZI JIPYA BAADA YA NDOA YAKE NA BEN POL KUINGIWA NA UKUNGU

ARNELISA MUIGAI KWENYE PENZI JIPYA BAADA YA NDOA YAKE NA BEN POL KUINGIWA NA UKUNGU

Huenda Ex wa msanii wa Bongofleva Ben Pol Arnelisa Muigai yupo kwenye Penzi jipya baada ya kudokeza Kuhusu hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

CEO huyo wa Life still water na mrithi wa shamba la Keroche Arnelisa Muigai amedokeza hilo kwa kupost kwenye insta story yake emoj ya kopa kama ishara ya mapenzi, ikiwa ni miezi kadhaa tu baada ya kuvunjika kwa ndoa yake/ na kupeana talaka na aliyekua mumewe Ben Pol.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji huyo aliingia kwenye headlines mapema wiki hii wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuonekana na mtu aliefanana na Ben Pol kwenye video ambayo ilisambaa mitandaoni akiwa amekaa kimahaba na mtu huyo ambae hajamuweka wazi kama ndie mpenzi wake wa sasa.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke