You are currently viewing ASLAY ATANGAZA KUJA NA UJIO MPYA MWAKA WA 2022

ASLAY ATANGAZA KUJA NA UJIO MPYA MWAKA WA 2022

Baada ya kipindi cha miezi 11 kupita bila kuachia ngoma yoyote, msanii wa Bongofleva Aslay ameweka wazi kuwa ana njaa ya kufa mtu.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Hitmakr huyo wa “Nyang’anya” ameweka video iliyoambatana na caption “I’m Hungry AF”

Huenda tafsiri yake ni ujio mkubwa wa kazi zake kuanzia mwaka 2022 ambapo hivi karibuni amekuwa akiacha nafasi kubwa kwenye utoaji wa kazi.

Tutegemee pia Aslay Isihaka akiisumbua Afrika, ikiwa ni tafsiri ya emoji ya dunia ambayo amekuwa akiitumia kwenye caption zake

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke