You are currently viewing Bebe Cool afunguka sababu za kutofanya tamasha la muziki mwaka 2022

Bebe Cool afunguka sababu za kutofanya tamasha la muziki mwaka 2022

Msaniii mkongwe Bebe Cool amefunguka sababu za kutofanya tamasha la muziki mwaka 2022 kama wasanii wenzake.

Kwenye mahojiano yake amekiri kupata changamoto ya kifedha kwa kuwa amekuwa akiwalipia karo watoto wenye uhitaji katika jamii maeneo mbali mbali nchini uganda.

Hitmaker huyo wa “Gyevude” amesema watoto wengi kutoka familia zisozijiweza wanamtegemea hivyo hawezi kuwaacha wakitabiaka.

Hata hivyo walimwengu kwenye mitandao ya kijamii wamehoji kuwa sababu za Bebe Cool kutoandaa tamasha lake la muziki hazina mashiko kwa kuwa hajaachia wimbo wowote mkali.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke