You are currently viewing BENNIE GUNTER ADAI WASANII WANAWEZA KUFANIKIWA KIMUZIKI BILA UWEPO WA MAMENEJA.

BENNIE GUNTER ADAI WASANII WANAWEZA KUFANIKIWA KIMUZIKI BILA UWEPO WA MAMENEJA.

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Bennie Gunter amesainiwa chini ya lebo ya muziki ya Talent Africa group ambayo inasimamiwa na Aly Bhai.
Msanii huyo anaamini wasanii wanaweza afikia malengo yao bila ya kuwa na uongozi ikilinganishwa na mameja ambao hawawezi kukaa kwenye biashara ya muziki bila uwepo wa wasanii.

Gunter amesema wasanii wana uwezo mkubwa wa kufanikiwa kimuziki bila uwepo wa mameneja kama watajiamini  na kuweka bidii kwenye kazi zao za muziki.

Hitmaker huyo wa “No letting Go” amesema majukumu pekee ya mameneja ni kutangaza na kusambaza nyimbo za wasanii ila wasanii wana nafasi kubwa ya kutanua wigo wa muziki wao.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke