You are currently viewing BENSOUL ATANGAZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

BENSOUL ATANGAZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

Msanii wa Sol Generation Bensoul ametangaza ujio wa album yake mpya tangu aanze safari yake ya muziki.

Katika mahojiano yake hivi karibuni Bensoul amewataka mashabiki zake kukaa mkao wa kula kuipokea album yake mpya ambayo kwa mujibu wake itaingia sokoni mwakani.

Mbali na hayo hitmaker huyo wa ngoma ya “Medicine” amedokeza mpango kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi Noni Gathoni licha ya kutokuwa na maelewano mazuri kipindi cha nyuma baada ya taarifa kuibuka kuwa Bensoul amempa uja uzito mwanamke mwingine.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke