You are currently viewing BETTINA NAMUKASA AFUNGUKA BAADA YA KUPATA AJALI

BETTINA NAMUKASA AFUNGUKA BAADA YA KUPATA AJALI

Mwimbaji wa bendi Bettina Namukasa ana uguza majeraha baada ya kudanganya kuwa amefariki alipohusika kwenye ajali ya barabarani.

Msanii huyo alikuwa anasafari kutoka kampala akielekea masaka ambako gari yake aina Toyota Noah yenye nambari ubl kupoteza mweelekeo baada ya gurudumu kuchomoka ghafla ikiwa kwenye mwendo kasi

Gari hilo iligonga mwamba pembezoni mwa barabara lakini kwa bahati hakuna aliyepata majeraha mabaya.

Katika mahojiano yake hivi karibuni amesema kwa sasa anaendelea vizuri licha ya kupata majeraha madogo kwenye ajali ya barabarani huko masaka.

Utakumbuka Betina Namukasa ni mwanachama wa bendi ya muziki ya De Nu Eagles Production.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke