Vipengele vya Tuzo za Oscar vimetolewa Februari 8, mwaka wa 2022 ambapo dunia imemshuhudia staa wa muziki kutoka nchini marekani Beyonce akipata Nomination yake ya kwanza kupitia kipengele cha Best Original Song na wimbo wa “Be Alive”.
Wimbo huo ulitumika kwenye filamu ya “King Richard”, filamu fupi iliyogusa maisha ya Baba mzazi wa Serena na Venus Williams.
Tuzo hizo za 94 zimetajwa kufanyika March 27, mwaka wa 2022 katika ukumbi wa Dolby Theatre nchini Marekani