You are currently viewing BI KHADIJA KOPA MBIONI KUACHIA EP MPYA

BI KHADIJA KOPA MBIONI KUACHIA EP MPYA

Malkia wa mipasho, Bi Khadija Omar Kopa ambaye ni nguli wa muziki wa taarab nchini, amesema wakati wowote atatoa nyimbo zake tano kwa pamoja.

Bi Khadija amezungumza hayo kupitia kipindi cha Mitikiso ya Pwani cha Times Fm, “Mimi nipo, wakati wowote nitatoa nyimbo zangu 5 kwa pamoja” – ameeleza khadijakopa ambaye ni mwanamuziki mahiri kwenye taarab akiwa amedumu kwenye muziki huo kwa muda mrefu.

Kadhalika na hilo, pia amezungumzia namna familia yake ilvyojaaliwa vipaji vya sanaa, amesema ni asili yao, kila mtu kazaliwa na kipaji akitolea mfano watoto wake.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke