You are currently viewing BIEN WA SAUTI SOL MBIONI KUKAMILISHA COLLABO YAKE NA KUNDI LA ETHICS

BIEN WA SAUTI SOL MBIONI KUKAMILISHA COLLABO YAKE NA KUNDI LA ETHICS

Member wa Sauti Sol Bien na wasanii wa kundi la muziki wa gengetone Ethics Entertainment wameingia studio kwa ajili ya kuandaa kazi yao ya pamoja.

Kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii wasanii hao wameonekana kuwa katika jukumu la kushirikiana kuandaa wimbo katika mazingira ya Studio wakivibe na mdundo wa kazi yao mpya.

Video hiyo imewaacha mashabiki na maswali mengi kama kweli wawili hao wapo kwenye maandalizi ya kazi yao mpya au walikuwa kwenye starehe zao.

Hata hivyo iwapo Bien na wasanii wa Ethics Entertainment wataachia collabo yao itakuwa ni kazi yao ya kwanza ikizingatiwa kuwa hawajawahi kufanya kazi ya pamoja.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke