You are currently viewing BLUEFACE APIGWA NGUMI YA USO NA MCHUMBA WAKE CHRISEAN ROCK

BLUEFACE APIGWA NGUMI YA USO NA MCHUMBA WAKE CHRISEAN ROCK

Rapa kutoka Marekani Blueface amepigwa ngumi ya uso na Girlfriend wake Chrisean Rock kwa mara nyingine tena.

Kwa mujibu wa TMZ, polisi walimtia pingu mrembo huyo na kumfikisha kituoni.

Huu umekuwa ni muendelezo wa vita baina yao, Agosti 3 mwaka huu wawili hao walitwangana na kunaswa kwenye video ya CCTV ambapo Blueface alisikika kwenye video akilalamika kukuta Rock anawasiliana na wanaume wengine kwenye simu, ikiashiria vitendo vya usaliti.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke