You are currently viewing BREEDER APOKEZWA TUZO YA SILVER PLAY BUTTON NA MTANDAO WA YOUTUBE

BREEDER APOKEZWA TUZO YA SILVER PLAY BUTTON NA MTANDAO WA YOUTUBE

Rapa kutoka nchini Kenya Breeder LW ametunukiwa tuzo ya silver play  button na mtandao wa youtube baada ya rapa huyo kufikisha jumla ya subscribers laki moja kwenye mtandao huo.

Breeder LW ametumia ukurasa wake wa instagram kuwashukuru mashabiki zake kwa kumpa support kwenye muziki wake ambao unazidi kuonyesha mafanikio makubwa huku akiahidi kuendelea kuwapa muziki mzuri kwani tayari baadhi ya projects zimekamilika.

Channel ya youtube ya Breeder LW ilifunguliwa rasmi Januari 14 mwaka wa 201y na mpaka sasa imefikisha zaidi ya watazamaji millioni 9.7 huku ikiwa na jumla ya subscribers 122, 000.

Itakumbukwa tuzo ya silver play button huwa inatolewa kwa wanamuziki au watu maarufu kwenye mtandao wa youtube ambao hujizolea zaidi ya subcribers laki moja.

 

 

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke