You are currently viewing BREEDER LW AKIRI HADHARANI KUMZIMIA KIMAPENZI AZZIAD PAMOJA NA CARTOON COMEDIAN

BREEDER LW AKIRI HADHARANI KUMZIMIA KIMAPENZI AZZIAD PAMOJA NA CARTOON COMEDIAN

Rapa Breeder LW ameshindwa kuzuia hisia zake za mahaba kwa malkia wa tiktok Azziad pamoja na mchekeshaji Cartoon Comedian kwa kueleza wazi kuwa anawapenda sana.

Breeder amefafanua kuwa ameamua kuwa mkweli na muwazi kwani warembo hao wana sifa zote anazozitafuta kwa mwanamke wa ndoto yake ambapo ameenda mbali zaidi na kusema kwamba yuko tayari kumuoa  mmoja kati yao endapo akikubali ombi lake.

Rapa huyo ameweka wazi hayo alipokuwa akimjibu shabiki yake ambaye alitaka kujua ni warembo wagani hapa Kenya anatamani kuwa nao kwenye mahusiano ya kimapenzi katika kikao cha maswali na majibu kupitia mtandao wa Instagram.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke