Nicah The Queen afungua kesi dhidi ya Emma Jalamo
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nicah the Queen ameamua kumchukulia hatua kali za kisheria msanii wa ohangala Emma Jalamo kwa tuhuma za kuichafu brand yake ya muziki. Kupitia barua…
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nicah the Queen ameamua kumchukulia hatua kali za kisheria msanii wa ohangala Emma Jalamo kwa tuhuma za kuichafu brand yake ya muziki. Kupitia barua…
Mwanamitindo maarufu duniani Amber Rose ameibuka na kudai kuwa kuna unyanyasaji mkubwa sana wa wanawake lakini vyombo vya habari vimekuwa na upendeleo pale mwanamke anapojitokeza kuongea ukweli. Amber amefunguka kuwa…
Wakati bado Bahati anaendelea kufanya vizuri na wimbo wake mpya 'Nowe Sweety,' ameonyesha kuwa hataki kulaza damu kuhusu muziki,ameonekana ujio wa kazi yake mpya na msanii wa BongoFleva Harmonize. Kupitia ukurasa wake…
Mwimbaji nyota wa kizazi kipya nchini Kenya, Otile Brown hataki kuwaacha mashabiki wake hivi hivi kabla mwezi huu haujaisha. Hii ni baada ya kutangaza ujio wa ngoma yake mpya ambayo…
Mwanamuziki Iyanii kutoka nchini Kenya anaendeleza ubabe upande wa Streaming Platforms hasa katika mtandao wa Boomplay, amepokea tuzo mbili za (plaque) kutoka Boomplay baada ya ya kufikisha zaidi ya streams…
Jumba la Rapa Drake lililopo mjini Los Angeles nchini Marekani limevamiwa na mtu mmoja ambaye alivunja na kufanikiwa kuingia ndani. Baada ya muda mfupi, polisi waliwasili kufuatia simu iliyopigwa na…
Jay-Z ameafikiana na Jonathan Mannion kwenye shtaka ambalo Rapa huyo mkongwe na Mfanyabiashara alimshtaki mpiga picha huyo ambaye alikuwa nyuma ya cover za Album kama ‘Reasonable Doubt, ‘Hard Knock Life’…
Rapa Kanye West ametajwa kama mtuhumiwa katika uchunguzi wa tukio la kihalifu. Hii inakuja mara baada ya kusambaa kwa video ikimuonesha Kanye akijibizana na paparazzi pamoja na shabiki. Video hiyo ilionesha kuwa…
Msanii mkongwe nchini Uganda Cindy Sanyu ametangaza kukamilika kwa likizo ya miaka miwili aliyochukua kwenye muziki wake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha taarifa hiyo kwa kusema kwamba ana mpango…
Msanii kutoka nchini Kenya Nviiri the Storyteller amefunguka ubaguzi wanaofanyiwa watu wanaopenda kusuka nywele aina ya dreadlocks katika jamii. Kupitia waraka mrefu alioundika kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii huyo…