B Classic akiri kutamani penzi la mwanasholaiti maarufu mtandaoni Shakilla
Msanii B Classic ameweka wazi matamanio ya kumchumbia mrembo maarufu mtandaoni nchini Kenya Shakilla kwa kigezo kuwa lazima awe mlokole. Kupitia instastoy yake amesema yuko tayari kuingia kwenye mahusiano na…