Skip to content

Urban Spice

  • Home
  • Entertainment
  • Sports
  • Technology
  • Contact
  • Home
  • Entertainment
  • Sports
  • Technology
  • Contact
Read more about the article Precious Okoye ashinda taji la urembo Afrika

Precious Okoye ashinda taji la urembo Afrika

  • Post published:December 28, 2022

Mrembo wa Nigeria, Precious Okoye ameshinda taji la Urembo la Afrika (Miss Africa) mwaka 2022. Okoye mwenye miaka 27 ameibuka mshindi katika shindano ambalo limefanyika usiku wa kuamkia leo ambapo warembo…

Continue ReadingPrecious Okoye ashinda taji la urembo Afrika
Read more about the article Jacquiline Mengi agonga mwamba kesi ya mirathi

Jacquiline Mengi agonga mwamba kesi ya mirathi

  • Post published:December 4, 2022

Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, Jacquiline Ntuyabaliwe na wanawe, wamekwama kutetea wosia ulioachwa na marehemu baada ya Mahakama ya Rufani kutupa shauri lake la kupinga uamuzi wa…

Continue ReadingJacquiline Mengi agonga mwamba kesi ya mirathi
Read more about the article Arnelisa yupo uhuru, Akamilisha talaka yake na Mwanamuziki Ben Pol

Arnelisa yupo uhuru, Akamilisha talaka yake na Mwanamuziki Ben Pol

  • Post published:October 1, 2022

Ni rasmi kuwa mfanyabiashara wa Kenya Anerlisa Muigai na mwanamuziki kutoka Tanzania Ben Pol sio mke na mume tena. Anerlisa ambaye ni binti wa seneta wa Nakuru Tabitha Karanja kupitia…

Continue ReadingArnelisa yupo uhuru, Akamilisha talaka yake na Mwanamuziki Ben Pol
Read more about the article STIVO SIMPLE BOY MBIONI KUFUNGA NDOA

STIVO SIMPLE BOY MBIONI KUFUNGA NDOA

  • Post published:July 12, 2022

Msanii wa msanii wa muziki nchini Stivo Simple Boy huenda akafunga ndoa hivi karibuni mara baada ya kuweka wazi mipango yake ya kwenda kumtambulisha mpenzi wake kwa wazazi wake. Licha…

Continue ReadingSTIVO SIMPLE BOY MBIONI KUFUNGA NDOA
Read more about the article BIEN WA SAUTI SOL AKIRI KUWAHI KUTAKA KUIVUNJA NDOA YAKE NA MKEWE CHIKI KISA MSONGO WA MAWAZO

BIEN WA SAUTI SOL AKIRI KUWAHI KUTAKA KUIVUNJA NDOA YAKE NA MKEWE CHIKI KISA MSONGO WA MAWAZO

  • Post published:March 9, 2022

Mwanakikundi wa bendi ya Sauti Sol, Bien Barasa ameendelea kutoa ushuhuda wa ndani kuhusu maisha yake, amefunguka kwamba aliwahi kutaka kuivunja ndoa yake. Kwenye podcast ya Bald Box msanii huyo…

Continue ReadingBIEN WA SAUTI SOL AKIRI KUWAHI KUTAKA KUIVUNJA NDOA YAKE NA MKEWE CHIKI KISA MSONGO WA MAWAZO
Read more about the article PRODYUZA WA BONGOFLEVA NAHREEL AKANUSHA KUWA NA MTOTO NJE YA NDOA

PRODYUZA WA BONGOFLEVA NAHREEL AKANUSHA KUWA NA MTOTO NJE YA NDOA

  • Post published:March 8, 2022

Msanii wa muziki Bongofleva Nahreel amekanusha vikali taarifa za kuzaa nje ya mahusiano yake na mpenzi wake, Aika ambaye wanaunda wote kundi la Navy Kenzo. Nahreel kupitia ukurasa wake wa…

Continue ReadingPRODYUZA WA BONGOFLEVA NAHREEL AKANUSHA KUWA NA MTOTO NJE YA NDOA
Read more about the article KANYE WEST NA KIM WAMEACHANA RASMI, MCHAKATO WA TALAKA WAKAMILIKA

KANYE WEST NA KIM WAMEACHANA RASMI, MCHAKATO WA TALAKA WAKAMILIKA

  • Post published:March 3, 2022

Ndoa ya Kim Kardashian na Kanye West imevunjika rasmi baada ya miaka 8. Mchakato wa talaka umekamilika Machi 3 na Jaji wa mahakama ya mjini Los Angeles ametangaza rasmi kwamba…

Continue ReadingKANYE WEST NA KIM WAMEACHANA RASMI, MCHAKATO WA TALAKA WAKAMILIKA
Read more about the article NICAH THE QUEEN AWAPA SOMO WANAWAKE KUHUSU UTARATIBU WA ULEZI WA PAMOJA KWA WATOTO (CO-PARENTING)

NICAH THE QUEEN AWAPA SOMO WANAWAKE KUHUSU UTARATIBU WA ULEZI WA PAMOJA KWA WATOTO (CO-PARENTING)

  • Post published:February 25, 2022

Female singer kutoka Kenya Nicah The Queen ametoa changamoto kwa wanawake wenzake kujishusha na kushirikiana na wapenzi wao wa zamani kuwalea watoto wao waliozaa nje ya ndoa badala ya kuendekeza…

Continue ReadingNICAH THE QUEEN AWAPA SOMO WANAWAKE KUHUSU UTARATIBU WA ULEZI WA PAMOJA KWA WATOTO (CO-PARENTING)
Read more about the article MWANAMUZIKI WA UGANDA RAY G AMPOTEZA BINTIYE WA SIKU 12

MWANAMUZIKI WA UGANDA RAY G AMPOTEZA BINTIYE WA SIKU 12

  • Post published:December 26, 2021

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Ray G, ametangaza kumpoteza binti yake Kim aliyekuwa na umri wa siku 12. Kupitia mitandao yake ya kijamii Ray G , amesema mtoto huyo alifariki Disemba…

Continue ReadingMWANAMUZIKI WA UGANDA RAY G AMPOTEZA BINTIYE WA SIKU 12
Read more about the article CARDI B AMZAWADI OFFSET CHEQUE YA SHILLINGI MILLIONI 226

CARDI B AMZAWADI OFFSET CHEQUE YA SHILLINGI MILLIONI 226

  • Post published:December 24, 2021

Wakati ukichukulia poa kumbukizi ya kuzaliwa kwa mpenzi wako, huko nchini Marekani rapa Cardi B hakuwa na jambo dogo kwa Baby Daddy wake OffSet , Hitmaker huyo wa "WAP" amemsurprise…

Continue ReadingCARDI B AMZAWADI OFFSET CHEQUE YA SHILLINGI MILLIONI 226
  • 1
  • 2
  • 3
  • Go to the next page
Nicah The Queen afungua kesi dhidi ya Emma Jalamo

Nicah The Queen afungua kesi dhidi ya Emma Jalamo

by Elim Robert
January 28, 2023
0
WhatsApp Facebook Twitter Google+ Linked In Pinterest

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Nicah the Queen ameamua kumchukulia hatua kali za kisheria msanii wa ohangala Emma Jalamo...

Amber Rose mbioni kuandika kitabu kuhusu dhuluma dhidi ya wanawake

Amber Rose mbioni kuandika kitabu kuhusu dhuluma dhidi ya wanawake

by Elim Robert
January 28, 2023
0
WhatsApp Facebook Twitter Google+ Linked In Pinterest

Mwanamitindo maarufu duniani Amber Rose ameibuka na kudai kuwa kuna unyanyasaji mkubwa sana wa wanawake lakini vyombo vya habari vimekuwa...

Bahati adokeza ujio wa kolabo yake na Harmonize

Bahati adokeza ujio wa kolabo yake na Harmonize

by Elim Robert
January 28, 2023
0
WhatsApp Facebook Twitter Google+ Linked In Pinterest

Wakati bado Bahati anaendelea kufanya vizuri na wimbo wake mpya 'Nowe Sweety,' ameonyesha kuwa hataki kulaza damu kuhusu muziki,ameonekana ujio wa kazi...

Otile Brown atangaza ujio wake mpya 2023

Otile Brown atangaza ujio wake mpya 2023

by Elim Robert
January 28, 2023
0
WhatsApp Facebook Twitter Google+ Linked In Pinterest

Mwimbaji nyota wa kizazi kipya nchini Kenya, Otile Brown hataki kuwaacha mashabiki wake hivi hivi kabla mwezi huu haujaisha. Hii...

Load More

Categories

  • Entertainment
  • Gossip
  • LifeStyle
  • Others
  • Sports
  • Technology
  • Today in History

More about us

  • Become a contributor
  • Advertise with us
  • Categories
  • Contact
  • Privacy Policy
  • Terms and conditions

Social Media

Facebook Twitter Youtube
Copyright © 2023 Urban Spice | All rights reserved