Mwimbaji wa Bongofleva Phina ajiunga rasmi na kampuni, Ziiki Media.
Mwimbaji wa Bongofleva ‘Phina’ amejiunga rasmi na kampuni kubwa ya usambazaji muziki barani Africa, Ziiki Media. Kwenye uzinduzi rasmi uliofanyika jijini Johannesburg nchini South Afrika, Phina amesema anajisikia mwenye furaha…