Klabu mbili Saudi Arabia zaingia vitani kusaka saini yaLeo Messi
Klabu mbili nchini Saudi Arabia zimeingia vitani kusaka saini ya mshambuliaji wa PSG, Leo Messi huku wakiweka dau nono mezani litakalomzidi, Cristiano Ronaldo wa Al Nassir. Timu hizo mbili Al-Hilal…