
Twitter kufanya mabadiliko tena
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa mtandao wa Twitter, Elon Musk ametangaza kwamba, Twitter inatarajia kuongeza kipengele kipya ndani ya jukwaa hilo kitakacho onesha idadi ya watu waliopita na kuona chapisho (tweet)…
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa mtandao wa Twitter, Elon Musk ametangaza kwamba, Twitter inatarajia kuongeza kipengele kipya ndani ya jukwaa hilo kitakacho onesha idadi ya watu waliopita na kuona chapisho (tweet)…
Twitter imefanya mabadiliko katika sehemu ya search. Sasa hivi unaweza kuona thamani ya hisa na cryptos katika sehemu ya Search. Mfano ukitaka kutazama thamani ya hisa za Apple kwa sasa…
Microsoft imetangaza kuwa Februari 14, 2023 itakifuta rasmi kivinjari cha Internet Explorer kutoka katika kompyuta za watumiaji duniani kote. Kampuni ya kiteknolojia ya Microsoft kwa awamu imekuwa ikiiondoa sokoni bidhaa…
Mtandao wa Twitter rasmi umeondoa utambulisho wa vifaa vya simu chini ya Tweet za watumiaji wake. Sasa hautaweza tena kuona (Tweet for iPhone au Tweet for Android) kwenye Tweets. Uamuzi…
Mtandao wa Instagram unazidi kuboresha huduma zake kwa kuweka sehemu mpya ya “Notes” Sehemu hii inawezesha mtumiaji kuandika ujumbe mfupi usiozidi herufi 60. Ujumbe huo unaonekana upande wa juu sehemu…
WhatsApp imeweka mabadiliko kwa kuweka uwezo wa kuzuia mtu asiweze kupiga screenshot katika picha au video ambayo mtu ametuma kwa kutumia option ya “View Once”. Lakini pia inazuia mtu asiweze…
Kampuni ya Apple imesogeza mbele mradi wake (Project Titan) wa kutengeneza magari yasiyo na usukani wala pedeli hadi mwaka 2026. Hii ni kutokana na uhaba wa teknolojia lakini pia kutikisika…
Bilionea wa teknolojia Elon Musk amesemaleo kwamba moja ya kampuni zake itaweza katika miezi sita kuwa na uwezo wa kupandikiza kifaa kwenye ubongo wa mwanadamu kitakachoruhusu mawasiliano na kompyuta. Kifaa…
Tajiri namba moja duniani na mmiliki wa mtandao wa Twitter, Elon Musk ameeleza kwamba Kampuni ya Apple inatishia kuizuia Twitter kupatikana kwenye App Store. Musk ambaye aliinunua Twitter kwa zaidi…
Instagram ni app ambayo inataka watumiaji wote wawe na umri wa miaka 13 na kuendelea. Akaunti za watoto ambao wana umri chini ya hapo zitakuja kudhibitiwa. Instagram ina utaratibu maalum…