WHATS APP KWENYE MAJARIBIO MAPYA, KULETA URAHISI KWA MA-ADMIN
App maarufu ya mtandao wa kijamii ya WhatsApp ipo kwenye kufanya majaribio ya kuweka sehemu mpya ya WhatsApp Communities. Inaelezwa kuwa, sehemu ya Communities itakuwa ni maalum kwa viongozi wa…