TWITTER YAUNGANISHA MFUMO WA LIVE STREAM NA WA KUFANYA MANUNUZI
Twitter inaunganisha mfumo wake wa Live-stream na mfumo wa kufanya manunuzi. Twitter imeshirikiana na Walmart katika kuanzisha mfumo wa kuwezesha watu kununua vitu katika livestream na Jason Derulo akielezea kuhusu…