YOUTUBE YAWEKA UWEZO WA KUFICHA DISLIKES.
Siku ya jana, YouTube imetangaza katika ukurasa wake wa News & Events, kuwa inaweka mabadiliko mapya ya kuficha jumla ya “Dislikes” katika video. Kwa kawaida, watazamaji wanaweza ku-Like au Dislike…
Siku ya jana, YouTube imetangaza katika ukurasa wake wa News & Events, kuwa inaweka mabadiliko mapya ya kuficha jumla ya “Dislikes” katika video. Kwa kawaida, watazamaji wanaweza ku-Like au Dislike…
App ya Spotify kwa mara ya kwanza itaweka sehemu ya ku-block marafiki na watumiaji wa kawaida ambao sio wasanii. Spotify ilikuwa haijaweka sehemu ya ku-block mtu asiweze kuona unasikiliza nini…
App ya Twitter imeweka sehemu mpya ya kurekodi mijadala ya Live-Audio (Twitter Spaces). Wasikilizaji watakuwa na uwezo wa kusikiliza Twitter Space baada ya Live-Audio kuisha. Twitter imesema itahifadhi file kwa…
Kampuni ya Facebook hatimaye ameamua kubadili jina la mtandao wa kijamii wa Facebook na kuwa META. Akizungumza kwenye mkutano wa kila mwaka wa kampuni hiyo, Annual Connect Conference Afisa Mtendaji…
Motorola imetambulisha teknolojia yake mpya ya “Space Charging” ambayo ipo katika kifaa ambacho kinaweza kuchaji simu nne kwa pamoja katika umbali wa mita tatu. Charging system mpya ya Motorola ina…
Baada ya Facebook kusumbuliwa na fedha ya kidigitali ya Libra, iliamua kuipa jina la “Diem” na kuwekeza katika kutengeneza Wallet ya Novi ambayo itatumika kutuma na kupokea fedha na itaunganishwa…
Mtandao wa Instagram unatarajiwa kuweka uwezo wa kupost kwa kutumia tovuti ya Instagram katika kompyuta. Watumiaji wa kompyuta watakuwa na uwezo wa ku-upload videos na picha katika akaunti za Instagram…
Baada ya miaka 17 ya kuwepo kwa brand kubwa ya mitandao ya kijamii; Facebook inapanga kubadilisha brand na jina lake mwisho wa mwezi huu. Tetesi zilizovuja mtandaoni zinasema kwamba Mark…
Mtandao wa Twitter umeanza majaribio ya kuweka matangazo katika sehemu ya Replies/comments. Ni style mpya ya kuonyesha matangazo katikati ya comments/replies. Inaonekana matangazo yataonekana sana katika Tweets za watu maarufu…
Kufuatia taharuki ambayo imekuwa ikijitokeza kwa watumiaji pale ambapo mtandao wa Instagram unakuwa umekumbwa na matatizo ya kiufundi, sasa mtandao huo umeanza majaribio ya 'feature' mpya ambayo itakuwa ikitoa taarifa…