You are currently viewing CATHERINE KUSASIRA AFUNGUKA SABABU ZA KUUZA GARI LAKE

CATHERINE KUSASIRA AFUNGUKA SABABU ZA KUUZA GARI LAKE

Mwanamuziki Catherine Kusasira aliuza gari lake aina ya Toyota Land cruiser V8 ambalo alizawadiwa na rais Yoweri Museveni.

Inadaiwa kuwa mwanamama huyo aliuza gari lake kwa sababu alikuwa anaandamwa na madeni.

Sasa akiwa kwenye moja ya interview Catherine Kusasira amejitokeza na kukanusha madai kuwa aliuza gari lake kutokana na madeni.

Hitmaker huyo “I love you” amesisitiza kwamba alipiga mnada gari  lake kwa sababu watu wake wa karibu walikuwa wanamuonea wivu.

Mwimbaji huyo wa zamani wa lebo ya muziki ya Eagles productions amedai kuwa kuna baadhi ya watu waliibua madai hayo kumuaharibia jina kwa sababu anamuunga mkono Rais Museveni.

Hata hivyo Amethibitisha kuwa tayari ameagiza  gari jipya aina toyota SUV ambayo haitawafanya watu wawe na wivu

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke