You are currently viewing CHRISTIAN BELLA AACHIA RASMI SWEET MELODY EP

CHRISTIAN BELLA AACHIA RASMI SWEET MELODY EP

Hatimaye msanii wa muziki wa dansi mwenye asili ya Congo Christian Bella amekata kiu ya mashabiki zake na EP mpya inayokwenda kwa jina la Sweet Melody.

Christian Bella ameamua kuwa surprise mashabiki zake kwa kuachia EP hiyo mpya yenye jumla ya mikwaju 6 ya moto huku ikiwa na kolabo 3 ambazo amewashirikisha wakali kama Champagne, Isha Mashauzi na CBO Music.

Sweet Melody EP ina nyimbo kama Umeniteka, Gaga, Teamo, Ringa, Waone Gere na Wenge. Hata hivyo Christian Bella amesema ameachia Happy Hour EP kama zawadi ya sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya.

Hii ni kazi ya kwanza kwa mtu mzima Christian Bella kwa mwaka wa 202  na inapatikana exclusive kwenye Digital Platforms zote za kusambaza muziki duniani ikiwemo Boomplay.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke