You are currently viewing Cristiano Jr ajiunga rasmi na Real Madrid

Cristiano Jr ajiunga rasmi na Real Madrid

Mshambuliaji Chipukizi, Cristiano Jr (mtoto wa Cristiano Ronaldo) amerejea katika shule ya vipaji ya Real Madrid kutoka Manchester United ikiwa ni miaka minne tangu aondoke klabuni pamoja na baba yake.

Cristiano Jr anatimkia Real Madrid siku chache baada ya babake kuonekana kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha Real Madrid wakati akiendelea kutafuta klabu mpya.

Akiwa na umri wa miaka 12 tu Cristiano Jr amekuwa akichezea kikosi cha Manchester United U-14 akifunga magoli 58, Assists 18 katika mechi 23.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke