Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo amekanusha taarifa za kuwa atajiunga na Klabu ya Al Nassr ya nchini Saudi Arabia mwezi January 2023.
Ronaldo amesema “No, that’s not true — not true” baada ya mchezo wa Jana dhidi ya Switzerland.
Klabu hiyo imetajwa kumuwekea CR7 Ofa ya ($200 million) zaidi ya KSh. Milioni 24.6 kwa mwaka mmoja ambapo mkataba wake unatajwa kuwa wa miaka miwili na nusu.