You are currently viewing DIAMOND ATAJWA KWENYE TUZO ZA MTV EUROPE MUSIC 2021

DIAMOND ATAJWA KWENYE TUZO ZA MTV EUROPE MUSIC 2021

Majina ya mastaa mbalimbali yametajwa kuwania tuzo za  Mtv Europe Music mwaka wa 2021 ambazo zitafanyika nchini Hungury mwishoni mwa mwaka huu.

Kwenye orodha hiyo staa wa muziki kutoka Tanzania diamond platnumz ndiye msanii anayeiwakilisha Afrika Mashariki na kati.

Diamond Platnumz ametajwa kwenye kipengele cha Best African Act ambapo atachuana na wakali wengine kutoka Afrika kama wizkid, tems, focalistic na amaarae kutoka nchini Ghana.

Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa November 14,mwaka wa 2021 huko nchini Hungury. Justine Bieber ameongozwa kwa kutajwa kwenye vipengele vingi ambapo ametajwa kwenye vipengele nane.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke