You are currently viewing DIAMOND PLATINUMZ AFIKISHA JUMLA YA SUBSCRIBERS MILLIONI 6 YOUTUBE

DIAMOND PLATINUMZ AFIKISHA JUMLA YA SUBSCRIBERS MILLIONI 6 YOUTUBE

Mwanamuziki wa Bongofleva Diamond Platnumz anazidi kujiwekea rekodi zake za kipekee kusini mwa Jangwa laSahara mara baada ya kufikisha jumla ya subscribers million 6 katika YouTube channel yake.

Diamond platnumz ambaye amejiunga na mtando huo Jun 12, mwaka wa 2011 anaendelea kuwa msanii wa kwanza kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahaara mwenye idadi kubwa ya subscribers, huku pia akiwa na rekodi ya watazamaji wa jumla yaani total view billioni 1.6.

Lakini pia Diamond Platinumz anashikilia rekodi ya kuwa mwanamuziki mwenye wafuasi wengi katika mtandao wa Instagram Afrika Mashariki.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke