You are currently viewing DIAMOND PLATINUMZ MBIONI KUAACHIA KOLABO NA DAVIDO

DIAMOND PLATINUMZ MBIONI KUAACHIA KOLABO NA DAVIDO

Kolabo mpya ya nyota wa muziki barani Afrika yaani Davido na diamondplatnumz inanukia, hii ni baada ya mtayarishaji lizer classic wa lebo ya WCB ambaye ni mtayarishaji wa kazi nyingi za Diamond kuonyesha sehemu ya project hiyo.

Lizer anathibisha kwamba kazi mpya kutoka kwa wawili hao ipo na itakuja. Ame-share kupitia insta story yake akionekana akiiandaa kazi hiyo.

Diamond na davido ambao hawana dogo kwenye kazi zao, ni wakali wa hitsong “My Number One Remix” iliyotoka zaidi ya miaka 8 iliyopita ikiwa ndio kolabo yao ya kwanza.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke