You are currently viewing DIAMOND THE BODY AKIRI KUTOKA KIMAPENZI NA WANAUME 2000

DIAMOND THE BODY AKIRI KUTOKA KIMAPENZI NA WANAUME 2000

Rapa kutoka Marekani Diamond the Body amezua gumzo mtandaoni mara baada ya kudai kwamba ameshakutana kimwili na wanaume 2000.

Kupitia insta stories yake kwenye mtandao wa Instagram mrembo huyo amesema alipoteza ubikra wake akiwa na miaka 12 na kuwa haogopi wala hajali maneno ya watu mtandaoni, hivyo kama kuna mwanaume anataka kuwa wa 2001 ajitokeze.

Mrembo huyo alipata umaarufu mwaka 2004 akiwa na kundi la Crime Mob kupitia singo yao “Knuck If You Buck” ambapo mwaka wa 2007 alijiondoa kwenye kundi hilo na kuanza kufanya muziki kama msanii wa kujitegemea chini lebo ya Polo Grounds.

Diamond Body aligonga vichwa vya habari Agosti mwaka huu alipovujisha picha zake za utupu akiwa na mwanaume ambaye alidaiwa kuwa ni msanii Burna Boy.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke