You are currently viewing DOGO RICHIE AMTIMUA MSANII WAKE

DOGO RICHIE AMTIMUA MSANII WAKE

Msaani Dogo Richie amesitisha kufanya kazi na msanii wake Ruchi Wakanda.

Kwa mujibu wa taarifa, wawili hao ambao wamekuwa wakifanya kazi kwa ukaribu, kwa sasa hawaonani uso kwa uso.

Dogo Richie na Ruchi kwa pamoja wamehusika katika utayarishi wa nyimbo kama Controller na Naringa naye ambayo Ruchi amemshirikisha Dogo Richie.

Kulingana na chanzo cha karibu na Dogo Richie, mzozo baina ya wasanii hao umesababishwa na mchongo wa hela ambao ruchi alifaa kutoa kwa dogo richie kutoka na kazi za usimamizi alizokuwa anamfanyia chini ya record lebo yake ya  Riclam.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke