You are currently viewing DR. DRE ATUMIA PESA ZAKE ZAIDI YA MILLIONI 795 ZA KENYA KUANDAA HALF TIME YA SUPER BOWL 2022

DR. DRE ATUMIA PESA ZAKE ZAIDI YA MILLIONI 795 ZA KENYA KUANDAA HALF TIME YA SUPER BOWL 2022

Mtayarishaji mkongwe  kutoka Marekani Dr. Dre ameripotiwa kutumia shillingi millioni 795 za Kenya kwa ajili ya kutayarisha performance nzima ya Halftime kwenye fainali za Super Bowl 2022 zilizofanyika Februari 14 katika uga wa SoFi huko California.

Dunia imeshuhudia Dr. Dre akiandika historia akiwa na wakali wa Hip Hop nchini Marekani; kama Kendrick Lamar, Snoop Dogg, Eminem, 50 Cent na mwanadada Mary J Bridge.

Kama ambavyo tunafahamu, NFL huwa haigharamii chochote kwenye performance za wasanii ambao hutumbuiza kwenye Halftime ya fainali za Super Bowl.

Mwaka jana mwimbaji The Weeknd alitumia takribani billion moja za Kenya kuandaa onesho lake zima lililokuwa na wanenguaji lukuk

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke