You are currently viewing Drake adokeza ujio wa Album mpya

Drake adokeza ujio wa Album mpya

Rapa kutoka nchini Canada Drake huenda akaachia Album nyingine mwaka huu, amedokeza kupitia onesho lake ambalo alitumbuiza jana Jumamosi. Wakati akimalizia onesho hilo, Drizzy aliwaambia mashabiki zake; “I hope I can strike up more emotions for you. Maybe this year. I might get bored and make another one. Who knows.”

Mwaka 2022 ulikuwa wa neema kwa mashabiki wa Drake kwani walibarikiwa kumsikia zaidi ya mara moja kupitia Album yake “Honestly, Nevermind” iliyotoka Juni 17 na Album ya pamoja na 21 Savage, “Her Loss” iliyotoka Novemba 4.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke