You are currently viewing Drake amchana Kanye West na Megan Thee Stallion kupitia wimbo wa Circo Loco

Drake amchana Kanye West na Megan Thee Stallion kupitia wimbo wa Circo Loco

Rapa kutoka Marekani Drake ameamua kutapika nyongo kwenye “Circo Loco” ngoma ambayo inapatikana kwenye Album ya pamoja na 21 Savage, Her Loss.

Drizzy amefunguka ya moyoni kwamba aliamua kupatana na Kanye West na kufanya onesho la pamoja (Free Larry Hoover Concert) Disemba 10, mwaka 2021 kwa sababu ya heshima tu ya godfather wake, J. Prince.

“Linking with the opps, b*tch, I did that shit for J Prince. B*tch, I did it for the mob ties” – amechana Drizzy.

Utakumbuka Drake pia kupitia hii single amemchana Megan Thee Stallion kufuatia madai yake ya kupigwa risasi na Tory Lanez kwa kusema kuwa alidanganya juu ya tukio hilo.

“This b**ch lied about getting shot but she still a stallion. She don’t even get the joke but she still smiling.” amechana Drake.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke