You are currently viewing DRAKE ANUNUA CHANUO LA GHARAMA KWA DOLA MILLIONI 1.1

DRAKE ANUNUA CHANUO LA GHARAMA KWA DOLA MILLIONI 1.1

Rapa kutoka nchini Marekani Drake ameingia kwenye headlines baada ya kununua chanuo la gharama zaidi aina ya Rolls Royce Brush kwa ajili ya kuchania nywele zake .

Chanuo hilo ambalo limenakshiwa kwa Led Lights linatajwa kuwa na thamani ya zaidi ya dola million 1.1 ambazo ni zaidi ya shilling million 122 za Kenya.

Hii si mara ya kwanza kwa mtu mzima Drizzy  kumiliki vitu vya gharama kubwa ,kwani amewahi kuripotiwa kumiliki kitanda chenye gharama ya zaidi ya million 44.5 kilicho nakshiwa na manyoya ya farasi na vipande vya baadhi ya madini.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke