You are currently viewing Eddy Kenzo awaonya Waislamu kutofuta Tattoo kwenye mwili wake pindi atakapofariki

Eddy Kenzo awaonya Waislamu kutofuta Tattoo kwenye mwili wake pindi atakapofariki

Hitmaker wa “Nsimbudde”, Msanii Eddy kenzo ni kama ameanza kujipanga na safari yake ya mwisho/ kifo chake baada ya kutoa maagizo ya kutaka kuzikwa na Tatoo.

Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Kenzo amesema licha ya kwamba alikenda kinyume na imani ya kiislamu kwa kuchora tatoo, watu watakaompuzisha kwenye nyumba yake ya milele wasijaribu kufuta tatoo yeyote kwenye mwili wake pindi atakapofariki duniani.

“Muslims should not cut off or remove my tattoos after my death, I will be very mad at them. That is my choice and I will have to deal with my creator when I am gone,” Alisema Eddy Kenzo.

Eddy kenzo ni moja kati ya wasanii walio na tatu nyingi kwenye mwili mwake nchini Uganda licha ya imani ya kiislamu kukatazaa waumini wake kuchora miili yao kwani inakwenda kinyume na uumbaji wa mwenyezi Mungu.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke