You are currently viewing ERIC OMONDI AUMIZWA NA KITENDO CHA OMAH LAY KUSHINDWA KUFANYA KOLABO NA TANASHA DONNA

ERIC OMONDI AUMIZWA NA KITENDO CHA OMAH LAY KUSHINDWA KUFANYA KOLABO NA TANASHA DONNA

Mchekeshaji maarufu nchini Eric Omond omeonekana kutofurahishwa na kitendo cha Omah Lay kutofanya kazi na mpenzi wake Tanasha Donna licha ya ukaribu wao.

Katika mahojiano yake na Plug TV Omondi amesema kitendo cha Omah Lay kufanya kolabo na Justin Bieber inaonyesha ni jinsi gani   hitmaker huyo wa “Godly” hana  mpango wa kuupeleka muziki wa Tanasha Donna kimataifa.

Utakumbuka kwa muda sasa Omah Lay amedai kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Tanasha Donna ila wawili hao wamekuwa wakikanusha madai hayo kwa kusema kwamba uhusiano wao ni wa kirafiki tu

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke