You are currently viewing FENA GITU AWAPA SOMO MASHABIKI WANAOMFANANISHA NA RAPA FEMI ONE

FENA GITU AWAPA SOMO MASHABIKI WANAOMFANANISHA NA RAPA FEMI ONE

Female rapper kutoka Kenya Fena Gitu amechukizwa na kitendo cha mashabiki zake kushindwa kumtofautisha na msanii mwenzake Femi One.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Fena amewapa somo mashabiki ambao wamekuwa na mazoea ya kumuita Femi kwa kuwataka aacha tabia hiyo mwaka huu la sivyo wakome kumtaja kwenye shughuli zao.

“Kama bado unaniita Femi 2022 wewe ni mzembe na sijali kabisa. Niite na jina langu kamili ama usinitaje kwenye shughuli zako.”  Ameandika Fena Gitu kupitia Twitter page yake.

Hata hivyo walimwengu kwenye mitandao ya kijamii wameibuka na kumtolea uvivu fena gitu wakimtaka aache makasiriko kwani hawamfahamu kabisa na ndio maana wamekuwa wakimuita Femi One.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke