You are currently viewing FOBY AOMBA WASANII WA BONGOFLEVA WASITOE EP ZAO

FOBY AOMBA WASANII WA BONGOFLEVA WASITOE EP ZAO

Staa wa muziki wa Bongo fleva, msanii Foby ambaye yupo mbioni kuachia EP yake mpya mwezi ujao, ametoa ombi kwa wasanii wenzake kuto-achia EP zao katika kipindi cha siku 10.

Foby ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa twitter, ambapo amewataka wasanii wa bongofleva wampe nafasi hiyo kwa ajili ya ku-promote na kuwapa nafasi mashabiki kuisikiliza kwa uzuri EP yake atakayo iachia hivi karibuni.

Mkali huyo wa ngoma “Kutamu” ametoa ombi hilo la siku 10, yaani kuanzia Desemba 2 hadi 12 mwaka huu

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke