Msanii kike nchini uganda Grace Khan ametishia kumshinikiza mwanamuziki mwenzake Prince Omar afanya vipimo vya DNA mara baada ya kujifungua mtoto wake.
Akiwa kwenye Grace Khan amesema ana ithibati wa kutosha ikiwemo sauti ambayo inaonyesha kwamba Prince Omar ndiye baba wa mtoto ajaye.
Kauli ya Grace Khan inakuja mara baada ya Prince Omar kumpa uja uzito na kumkana kwamba hamfahamu.
Ikumbukwe juzi kati kwenye baby shower yake ambayo ilihudhuriwa na baadhi ya wasanii nchini uganda Grace khan alikiri kwamba tangu Prince Omar ampe ujazito na kumkimbia hajawahi mpa mahitaji