You are currently viewing GRENADE AFUNGUKA SABABU ZA WAREMBO WA UGANDA KUMGANDA KAMA GUNDI

GRENADE AFUNGUKA SABABU ZA WAREMBO WA UGANDA KUMGANDA KAMA GUNDI

Msanii kutoka nchini Uganda Grenade amefunguka siri ambayo imewafanya wanawake wengi nchini humo kumpenda bila sababu za msingi.

Kwenye mahojiano na Galaxy FM Grenade amejitapa kuwa ana ujuzi wa kipekee linapokuja swala la kutumia ulimi wake kuwashawishi wanawake ambapo ameenda mbali zaidi na kujinasibu kuwa swala hilo limewafanya wanawake wengi nchini uganda kumzimia kimapenzi.

Grenade amekuwa akihusishwa kutoka kimapenzi na wanawake wengi nchini uganda akiwemo  Lydia Jazmine, Vivian Mbuga, Sheila Gashumba, Zari na wengine wengi.

Hata hivyo mbinu anazozitumia  Grenade kuwavutia warembo hao limeilkuwa kitendawili kwa  waganda wengi lakini Good news kuwa msanii huyo amenyoosha maelezo kuhusu hilo

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke