You are currently viewing HAFLA YA UGAWAJI WA TUZO ZA GRAMMY 2022 KUFANYIKA MWEZI APRILI

HAFLA YA UGAWAJI WA TUZO ZA GRAMMY 2022 KUFANYIKA MWEZI APRILI

Hafla ya Tuzo za Grammy huenda ikafanyika April 3 au 10 mwaka huu kufuatia kuahirishwa kufanyika Januari 31 kutokana na tishio la kirusi cha Omicron.

Mtandao wa Hits Daily Double umearifu kwamba siku ya April 3 inapewa nafasi kubwa zaidi kutokana na kutokuwa na matukio mengi ya kiburudani.

Huu unakuwa mwaka wa pili mfululizo kwa tuzo hizo kuahirishwa, mwaka jana ziliahirishwa kutoka Januari na kufanyika Machi 14, mwaka wa 2021.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke