You are currently viewing HAMISA MOBETTO AWEKA WAZI MAMBO YALIYOMDATISHA KWA RAPA RICK ROSS

HAMISA MOBETTO AWEKA WAZI MAMBO YALIYOMDATISHA KWA RAPA RICK ROSS

Kama ulikuwa unadhani ni fedha na umaarufu alionao rapper kutoka marekani Rick Ross ndio vitu pekee viivyo m’datisha mrembo mtanzania Hamisa Mobetto kiasi cha kuwa nae karibu basi haya ndio majibu rasmi kutoka kwa mwanadada huyo.

Akijibu swali la moja ya shabiki alietaka kujua ni kitu gani kiimfanya ampende rapper huyo raia wa marekani n mmiliki wa record label ya Maybach Music , Hamisa alimjibu kwa kuorodhesha vitu hivyo kuwa ni ndevu zake, rangi, meno na sauti yake huku akimwagia sifa lukuki kwamba rapper huyo ananukia vizuri.

Ikumbukwe Hamisa Mobetto amekuwa akihusishwa kuwa penzini na msanii kutoka Marekani Rick Ross, baada wawili hao kuonekana wakiwa pamoja Novemba 25, mwaka 2021 katika falme za kiarabu Dubai wakila bata pamoja.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke