You are currently viewing HAPPY C AACHIA RASMI BEYOND INFINITY EP

HAPPY C AACHIA RASMI BEYOND INFINITY EP

Msanii wa muziki kutoka 001 music Happy C ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Beyond Infinity.

Beyond Infinity EP ina jumla ya ngoma 5 za moto ambazo amewashirikisha wakali kama Chikuzee na K.O.

EP hiyo ina nyimbo kama Yatakwisha, Inakera, Maupendo, Coco, na Heshima.

Beyond Infinity inaenda kuwa EP ya pili kwa mtu mzima happy c ikizingatiwa kuwa mwaka wa 2021 aliwabariki mashabiki zake na EP iitwayo Karata 3 ambayo ilikuwa na jumla ya mikwaju tatu ya moto.

Elim Robert

Robert Elim is an Editor with high interest and knowledge in the entertainment space, an industry he has been actively part of since childhood. He host an Entertainment show at North Rift Radio 104.5 FM & 104.9 FM called "Interact", that usually runs every Monday to Friday from 1 PM - 4 PM. Leads to breaking stories are welcome at elimrobert@gmail.com & contact@urbanspice.co.ke